Kumekucha njoo na tukio lolote tushee ningetamani iwe habari njema

Kumekucha njoo na tukio lolote tushee ningetamani iwe habari njema

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Mi nimeamka salama kabisa najiandaa kwenda kupambana nipo Dodoma familia ipo Dar usiniulize kwanini sijaileta Dom nina sababu zangu.

Njoo na tukio tujadilišŸ˜Ž
 
Katika maisha kuna kupigiwa makofi na kupigwa makofi ļæ¼
 
Jana usiku nimeua mbu wawili ni kama inaonekana walijificha somewhere huko ndani baada ya kuingia mpango ulipokuwa wazi kidogo na nilipowachunguza vizuri nikagundua ni wa familia moja mume na mke nimewaza sana kuhusu watoto wao na wale wanaotegemea wapelekee damu
 
Back
Top Bottom