Jana usiku nimeua mbu wawili ni kama inaonekana walijificha somewhere huko ndani baada ya kuingia mpango ulipokuwa wazi kidogo na nilipowachunguza vizuri nikagundua ni wa familia moja mume na mke nimewaza sana kuhusu watoto wao na wale wanaotegemea wapelekee damu