Huko Kenya mnajenga barabara kwa kutumia only one company??kila company ikijenga reli na style yake,reli itafanana aje sasa
kila company ikijenga reli na style yake,reli itafanana aje sasa
Chief,,ingekuwa mchezo wa ngumi tungesema umempiga kwa K.O, tena raundi ya kwanza sekunde ya tano.!specification specification specification
uwe unauliza maswali yaliyoenda shule.
Kajambe ukalale dogo, saa hizi unafanya nini kwenye mazungumzo ya watu wazima,? Hivi mbona hivi vitoto vya siku hizi havina adabu kabisa? Kwenda huko kacheze na wenzio huko uwani.kila company ikijenga reli na style yake,reli itafanana aje sasa
Chief,,ingekuwa mchezo wa ngumi tungesema umempiga kwa K.O, tena raundi ya kwanza sekunde ya tano.!
Zeeka polepole babu.Kajambe ukalale dogo, saa hizi unafanya nini kwenye mazungumzo ya watu wazima,? Hivi mbona hivi vitoto vya siku hizi havina adabu kabisa? Kwenda huko kacheze na wenzio huko uwani.