Kumekucha Tanzania

That's her choice and it ain't got nothing to do with Tanzanian men!
 
Mzungu mwenyewe kashachoka, inaonekana huyo dada kafata fweza tu. Ila 'show' kama kawaida na wabongoze.
 
suala la ndoa ni la kibinafsi zaidi huyu mwanamke ukimuuliza atakupa sababu jingi tofauti zilizomfanya aamue kuolewa na mzungu; pia maadam huyu mzungu naye ni binadam mie sioni tatizo hapo la kutubeza wanaume wa kibongo angeamua kuolewa na punda au mbuzi hapo ingetustua"
 
Wapo wengi sana, hata tukiamua kuoa watatu watatu hatutawamaliza, acha mzungu ajibebee zigo lake.
 
Jamani mbona mnapenda kushangaa watu, kuna wangapi vibabu vya kiafrika vinaoa ndogo ndogo. Sioni ajabu, thats her choice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…