Kumekucha: Uganda ipo mguu nje mguu ndani

Kumekucha: Uganda ipo mguu nje mguu ndani

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,138
Reaction score
1,514
uganda sgr.jpg


Will it be the railway to nowhere???
 
akili za jiwe kuacha nchi za uganda na Congo kuunganisha na ka mkoa ka rwanda

Kwani hujui kuwa reli inafika Mwanza.. na wanajenga vivuko vikubwa vya makontena kwa ajili ya kuchukua mizigo kupeleka Uganda..
 
Maumivu ya kichwa yana anza taratibu.. M7 Mjanja sana anawalia timing manyang'au ili asije akawaua kwa pressure [emoji2].. Hili lilisha amliwa muda tu
 
Back
Top Bottom