MAKANJAMNA JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,138 Reaction score 1,514 Oct 30, 2018 #1 Will it be the railway to nowhere???
xng hua JF-Expert Member Joined Sep 24, 2016 Posts 3,302 Reaction score 5,379 Oct 30, 2018 #2 akili za jiwe kuacha nchi za uganda na Congo kuunganisha na ka mkoa ka rwanda
MAKANJAMNA JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,138 Reaction score 1,514 Oct 30, 2018 Thread starter #3 xng hua said: akili za jiwe kuacha nchi za uganda na Congo kuunganisha na ka mkoa ka rwanda Click to expand... Kwani hujui kuwa reli inafika Mwanza.. na wanajenga vivuko vikubwa vya makontena kwa ajili ya kuchukua mizigo kupeleka Uganda..
xng hua said: akili za jiwe kuacha nchi za uganda na Congo kuunganisha na ka mkoa ka rwanda Click to expand... Kwani hujui kuwa reli inafika Mwanza.. na wanajenga vivuko vikubwa vya makontena kwa ajili ya kuchukua mizigo kupeleka Uganda..
thisdayes JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,610 Reaction score 4,556 Oct 30, 2018 #4 Maumivu ya kichwa yana anza taratibu.. M7 Mjanja sana anawalia timing manyang'au ili asije akawaua kwa pressure [emoji2].. Hili lilisha amliwa muda tu
Maumivu ya kichwa yana anza taratibu.. M7 Mjanja sana anawalia timing manyang'au ili asije akawaua kwa pressure [emoji2].. Hili lilisha amliwa muda tu