Kumekucha Uganda: Mke wa MB Bobi Wine amshtaki Museven kwa Rais Trump

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
6,710
Reaction score
9,063
Hayawi hayawi yamekuwa....!!

Tunaweza kusema ni kitendo cha kishujaa kwa mwanamama mke wa Bobi Wine kumpigia simu Rais wa Marekani ili kumshtaki Rais M-7 katika juhudi za kunusuru maisha ya mume wake.

Mke wa Bobi Wiine ameanika Unyama wa Rais Museveni aliomtendea Mbunge Machachari wa Uganda Kyagulanyi Ssentama a.k.a Bobi Wine kwa Rais Trump wa Marekani akimwomba Rais huyo wa Taifa kubwa la Marekani aingilie kati ili kusaidi kuokoa maisha ya mume wake.

Stay tuned.
 
Ngoja tuone itakuwaje kwenye hili sakata
 
Mbona anaongea na wanahabari tu. Mi nikazania anaongea na Trump. Marekani hana mda wa kupoteza kwa Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…