randez vous
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 890
- 621
kabisaa...sema aliyeweka hiyo video lazima awapate viewers kweliNaona wanataka viewers tu..wameweka na cover ya mbabe trump kama analonga na simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie bavichaa ndio maana madiwani wanawakimbia. Mmezidi umbea huko ufipa. Haya ni mahojiano na BBC World Service (Damian Grammaticas, News Hour). Hakuna Trump hapo.Hayawi hayawi yamekuwa....!!
Tunaweza kusema ni kitendo cha kishujaa kwa mwanamama mke wa Bobi Wine kumpigia simu Rais wa Marekani ili kumshtaki Rais M-7 katika juhudi za kunusuru maisha ya mume wake.
Mke wa Bobi Wiine ameanika Unyama wa Rais Museveni aliomtendea Mbunge Machachari wa Uganda Kyagulanyi Ssentama a.k.a Bobi Wine kwa Rais Trump wa Marekani akimwomba Rais huyo wa Taifa kubwa la Marekani aingilie kati ili kusaidi kuokoa maisha ya mume wake.
Angalia hii.
Stay tuned.
Hivi hapa kwetu ni nani at atakaye-sacrifice, kumshitaki Jiwe kwa Trump, kutokana na unyama anaowafanyia wapinzani??
Darasa la saba bana hivi umesikiliza interview kweliMbona anaongea na wanahabari tu. Mi nikazania anaongea na Trump. Marekani hana mda wa kupoteza kwa Uganda.
Nyie watu nyie wepesi sana kuhadaika sijui kwanini!? Deal with your own business, hizo ni porojo tuu huyoo Trump hatofanya lolote lile....Mwisho wa Museveni umefika rasmi !
teh kumshitaki au kumchongea/kumsemea?Hivi hapa kwetu ni nani at atakaye-sacrifice, kumshitaki Jiwe kwa Trump, kutokana na unyama anaowafanyia wapinzani??
What goes on in Uganda about Bob is widely known internationally. Therefore there are majority individual and human right NGO'S that gives reports dailly to other nations including USA.
Wakati wa kampeni zake TRUMP alimchimba mkwala Mseven kutokana na utawala wake sasa unadhani haijui Uganda. Kila siku hupata repoti za dunia nzima na anazisoma. Unadhani kazi ya balozi ni nini hasa.anaweza kua kashaifahamu hii issue maana waganda wanaoishi US wameandamana huko ubalozini Kwao
Bawacha, umesikiliza hata dakika moja au umeona picha tu na kukimbia kukoment?safi sana !
You're insinuating mkuu.What goes on in Uganda about Bob is widely known internationally. Therefore there are majority individual and human right NGO'S that gives reports dailly to other nations including USA.
TRUMP himself knows everything about the stupidity ruling system of Mseven to all opposition party and he woned Mseven before being a president.
People has made connection between the two side and instructed Bob's wife what to inform TRUMP so as to let her husband free. And up to now its so hard time to Mseven incase Bob dies.
I smell a great nation revolt in Uganda that will let him to loose his power.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujawajua vema hao wamarekani. Jiulize iraq,libya na huko misri.You're insinuating mkuu.
Kwanza hapo kaongea na chombo cha uingereza sio US. Kufahamu anaweza kufahamu thru briefing ila kuingilia Ishu hizo kiundani huko UG ni other issue.
Kwanza hawezi kufanya chochote, Japo ana assets za kutosha hapo zinazomtafuta Kony. Hizi zitaishia kwa wanaharakati tu wa kimataifa. Ila hawezi kuforce kumchomoa M7.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha...watz wanachekesha kweli...huyo demu anaongea na bbc reporter....ova
Sent using Jamii Forums mobile app