Kumekucha usaili wa ualimu

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
428
Reaction score
385
HabariLeo?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukiangalia kwenye account yako ajira portal kada ya ualimu unaona nini?

Hebu njoo hapa tupeane mirejesho.
 
Ww umeona nini
HabariLeo?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukiangalia kwenye account yako ajira portal kada ya ualimu unaona nini?

Hebu njoo hapa tupeane mirejesho.
Ww umeona nini
 
hapa comfirm employer wamemaanisha kitu gani
Thibitisha muajiri wako. Ukisha confirm itakuambia employer successful confirmed. Baada hapo watakuja wenyewe kulitolea ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…