joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hali hii wenye akili tuliiona zamani sana kwamba itafika wakati Wakenya watachoka na kuingia barabarani kama ilivyo Sudan, sikiliza maneno ya Wakenya na uangalie "body language" kisha malizia na kusema "comments za Wakenya". Kenyans, please keep tribalism aside. Wake up!