Hakyanani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeyeue huwa hanauda na mitandao ya kijamii
Halafu inaonekana ugumu huu haushi leo wala keshoHakyanani!
hii nchi ngumuuuuu!
Mkuu, hili ni bonge la idea, I wish Ney kuludi teki zisi idea.Tena akafanye shooting kolomijeee ! Itanoga!
tuhamie UZBEKSTAN!Halafu inaonekana ugumu huu haushi leo wala kesho
Upo upande upi sasa hivi?hahahaha Nay ndicho alicho taka na sasa kafanikiwa...alitaka kuonana na wakina Lissu na Kibatala kupitia kiki ya matusi na watetezi wamejitokeza
Hajulikani, yaani hasimamishi wala halazi.Upo upande upi sasa hivi?
Hahahatuhamie UZBEKSTAN!
Haya kiko wapi saivi, mmeshushuka vibaya [emoji3] [emoji3] warumiiii uwe unahifadhi maneno ona sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kosa kuikashfu serikali period... Hakuna kuwekewa dhamana
Wahuni tu kutafuta kick, vitu vya maslah kwa wengi huwaoni ila issue za akina wema sepegu utawaona! Lisu sio wa kujifanya anajua kutetea wanyonge ilihal vijana wanagongwa 18% loan bodi huko, angekuwa mkweli angeonekana bt ni wauza sura
Nahisi hata shaabani Robert angekuepo angeshitakiwa na kusadikika yake