Kumekucha: we won't fly to US - KQ pilots

Kumekucha: we won't fly to US - KQ pilots

believe me they will, they are demanding more share which they will get. Tunangoja Mumbai kama tulivyo ahidiwa na Jiwe aka Supreme Leader.
 
Wazungu needs to raise their eyebrows on this company hii mijitu inaweza kwenda kuwabwaga Mediterranean Sea as to emphasis on their hopeless strike
Wivu unakufanya uwatakie wengine kifo?
 
Pale unataka kuruka na haujaagana na nyonga.

Kwani kampuni za MLDC hazina uwezo wa kuwalipa vizuri watumishi wake[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kimenuka sio mchezo wanataka kuuana
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Š

IMG_20160611_235159_540.JPG

usubiri tarehe 28 October. lazima tukutoboe majipu!
 
Nchi ya kukurupuka Richard Quest kapewa mpunga usiopungua a million dollar huku wakishindwa kuongeza malipo. Hii Airline ni ya kuogopa kama ukoma!
 
This folks are finally seeing this thing come to pass,i thought mlisema US haita approve jkia category 1 status?
 
keti chini tuliza kende...wacha kukurupuka bwana...zindua mumbai na kigali flights kama ldc wenzenu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€tuwachieni hii ya JFK sio ligi yenu...hii ni rocket science haswaa...maanake hamwezani na mambo kama haya
 
Wazungu needs to raise their eyebrows on this company hii mijitu inaweza kwenda kuwabwaga Mediterranean Sea as to emphasis on their hopeless strike
Kuna wakati hakuna option nyingine kwa wafanyakazi bali kutumia silaha yao halisi ambayo ni kugoma kufanya kazi
 
Aibu, Richard Quest atarudi UK na british airways ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kulingana na mapato ya KQ, Hizi ndege hata maitenance ya kawaida na shuku sana kama hufanyika
 
Nchi ya kukurupuka Richard Quest kapewa mpunga usiopungua a million dollar huku wakishindwa kuongeza malipo. Hii Airline ni ya kuogopa kama ukoma!
Hivi umesahau zile enzi ulikua unasema US hawatapprove hii flight? Sahii naona umebadilisha goli sasa umeenda kwa mishahara ooh mgomo n.k. Ngoja tuone tarehe 28 utasemaje.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom