Wivu unakufanya uwatakie wengine kifo?Wazungu needs to raise their eyebrows on this company hii mijitu inaweza kwenda kuwabwaga Mediterranean Sea as to emphasis on their hopeless strike
Kimenuka sio mchezo wanataka kuuana
πππ
What does mldc mean? Asking for a friendPale unataka kuruka na haujaagana na nyonga.
Kwani kampuni za MLDC hazina uwezo wa kuwalipa vizuri watumishi wake[emoji12][emoji12][emoji12]
wazee wa jiwe la msingi na mkasi.Hahaha Wazee Wasifa
Kuna wakati hakuna option nyingine kwa wafanyakazi bali kutumia silaha yao halisi ambayo ni kugoma kufanya kaziWazungu needs to raise their eyebrows on this company hii mijitu inaweza kwenda kuwabwaga Mediterranean Sea as to emphasis on their hopeless strike
Hivi umesahau zile enzi ulikua unasema US hawatapprove hii flight? Sahii naona umebadilisha goli sasa umeenda kwa mishahara ooh mgomo n.k. Ngoja tuone tarehe 28 utasemaje.ππNchi ya kukurupuka Richard Quest kapewa mpunga usiopungua a million dollar huku wakishindwa kuongeza malipo. Hii Airline ni ya kuogopa kama ukoma!