Kumekucha Yanga

Wazee wa kimya kimya naona mmekataa kua mabubu xaxa dah kweli mpira kazi
 
Huyo Deo Kanda atoke Raja Casablanca aje Yanga lazima kutakuwa na Tatizo kwake
 
Baada ya kumsainisha Ibrahim Ajib,kuna kila dalili kwamba,Deo Kanda na Jesse Were watasaini muda wowote.
Naona Ndala fc mnacheza mziki Le Mafia Hans Pope kama alivyotaka, hahahaaaaaaaaa, mi mnyama ngoja nicheke kwa dharaaaaaaaauuuuu nikisubiri coup de grace la Hans Pope kwa watani.
 
Serikali watwambie wamempa nani yanga tena maana ndio tegemeo lao
 
Huyo ni nyoko ,waulize waarabu wanamjua,hapo ni hatari Deo Kanda Mukok
 
Naona Ndala fc mnacheza mziki Le Mafia Hans Pope kama alivyotaka, hahahaaaaaaaaa, mi mnyama ngoja nicheke kwa dharaaaaaaaauuuuu nikisubiri coup de grace la Hans Pope kwa watani.
Ana umafia gani huyo TurnBoi Wa magari ya Mizigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…