KERO Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu

KERO Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

LessKnown

Member
Joined
Oct 24, 2024
Posts
81
Reaction score
104
Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu.

Ukinunua hupati token na wenye mitandao wanajua kuna shida kwasababu ukiwapigia wanakiri. Lakini bado unakatwa pesa!

Kwa nini maelezo ya kuwepo kwa shida yasitolewe kupitia menu za apps ili mteja ajipange kivingine badala ya kumkata pesa yake na bado asipate huduma aliyolipia!?

Soma Pia: Tozo ya kimya kimya ya kununua umeme (LUKU) kupitia mitandao ya simu
 
Back
Top Bottom