Kumekuwa na kesi tofauti juu ya kudukuliwa kwa mifumo ya matokeo vyuoni na kubadilishwa. Kwa mfano alikuwa amefeli mwanafunzi ila mfumo unadukuliwa na kuandikiwa PASS.
Sasa naomba kujua hii huwa haiwaletei shida pale wanapo maliza masomo yao kwamba ikaonekana walifeli mwaka flani?
Sasa naomba kujua hii huwa haiwaletei shida pale wanapo maliza masomo yao kwamba ikaonekana walifeli mwaka flani?