Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo si shwari CHADEMA

Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo si shwari CHADEMA

Richard mtao

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
262
Reaction score
361
Hellow JF.
Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo sio shwari CHADEMA.

Tukianza na kauli za makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliwahi kusema CHADEMA kuna pesa chafu. Kwa bahati mbaya sana watanzania tunakasumba ya kupuuzia mambo na kuyachukulia poa poa mambo. Likaeenda ilo likanyamazishwa.

Ikaja ishu ya msigwa kulalamikia uchaguzi wao akiwatuhumu viongozi wa juu, pia alisisitiza chadema haina demokrasia tena, uhuni umekuwa mwingi, vitu vinafanywa kwa matakwa ya mtu fulani.

Sasa habari ya leo imenifanya niamini kwamba chadema kuna shida kubwa. Taarifa ya kujiuzulu katibu Mkuu wa chama hicho kwa madai kwamba hapati ushirikiano na asikilizwo na viongozi wenzio.

Hii ni ishara tosha kabisa kwamba, chadema ipo katika wakati mgumu sana. Au nyie wana jamvi mnasemaje?

Soma Pia: Je, Msajili wa Siasa ataichunguza Chadema dhidi ya madai ya Mtu mmoja Kufanya Maamuzi yote ya Chama?
 

Attachments

  • IMG-20240822-WA0003.jpg
    IMG-20240822-WA0003.jpg
    186.7 KB · Views: 2
Kama unajua mifumo ya vyama vya upinzani tangu nccr cuf na Sasa chadema hutashangaa sana kinachoenda kutokea
 
Back
Top Bottom