1Afica54
Senior Member
- Feb 15, 2025
- 115
- 68
Habari wana JAMIIFORUMS
Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea PSRS wameita baadhi ya walimu wa masomo ya physics, mathematics and English lakini kumekua na kirudiwa kwa majina yaani kuchanganywa majina kwenye pdf tofauti kwa siku tofauti
Pia mfumo wa kutoa pdf kila siku kwa mafungu mafungu sio mzuri sana sababu ni usubufu ili kuepusha adha hii PSRS waonyeshe kwenye account za ajira portal kua umechaguliwa kuliko kutafuta jina kwenye kila pdf
Pia tunaomba serikali yetu ya Tanzania kuongeza masilahi kwa walimu pamoja na kutoa fedha za kujikimu kwa wakati inatia aibu sana mwalimu unaajiriwa unapewa godoro la mwanafunzi na unakula chakula Cha wanafunzi haipendezi