babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 703
- 491
Serious mkuu? Maana anapenda mapicha picha yule hajatupia hata moja?Alipelekwa inje..akarud..now ana recover..na kutengeneza 6 packs..
Yupo under new management..ili.kuondoa ile aibu aliokuwa nayo..nahic ata mwigulu anahusika kumsaidia..Serious mkuu? Maana anapenda mapicha picha yule hajatupia hata moja?
Ni yeye huyo kipindi madawa yamekoleaMkuu, hiyo picha ya chini upande wa kulia ni mdogo wake?