Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
jamani si mniambie nishanunua dawa
sasa majibu gani mkuu?Meza manake naona Kama ishaanza kukupanda kichwani manake unalazimishia majibu,meza tu mama
asante mkuuKuna madhara makubwa sana ya kumeza dawa bila ya kupima, ukila dawa ya malaria bila kupima halafu kumbe huna malaria utafanya vijidudu vya malaria kuwa sugu na dawa siyo chakula kwa hiyo utachakaza mwili wako!....... Usipende sana kula dawa badala yake kula vyakula sahihi, kunywa maji kwa wingi,fanya mazoezi kwa wingi na maintain mind stability kwani hizo ndo dawa ambazo hazina madhara!
Tuma rungu au hit.jamani si mniambie nishanunua dawa