Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida tu,kule dodoma huwa tunameza hadi mbegu 60 za ubuyu....ila baadae utakiona!Habari zenu waungwana,Pamoja na kuwa mtu mzima katika siku ya jana nilikuwa natafuna ubuyu lakini ghafla tu nikajikuta nimemeza ubuyu,je inakuwaje hapo jamani,
Tafadhalini sana naombeni msaada
Kama ni nyingi lazima mamaako aje na kijiti wakati unakunya akusaidie kuzichokonoa,lakini kama ni moja wee itapita tu wala usiwe na hofu,wanasema kikipita kooni na mk//und//uni kitapita.Kitu gani icho nitakiona,niweke wazi tu mkuu