Kumeza tunda ya ubuyu

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu waungwana,Pamoja na kuwa mtu mzima katika siku ya jana nilikuwa natafuna ubuyu lakini ghafla tu nikajikuta nimemeza ubuyu,je inakuwaje hapo jamani,
Tafadhalini sana naombeni msaada
 
Habari zenu waungwana,Pamoja na kuwa mtu mzima katika siku ya jana nilikuwa natafuna ubuyu lakini ghafla tu nikajikuta nimemeza ubuyu,je inakuwaje hapo jamani,
Tafadhalini sana naombeni msaada
Kawaida tu,kule dodoma huwa tunameza hadi mbegu 60 za ubuyu....ila baadae utakiona!
 
Kitu gani icho nitakiona,niweke wazi tu mkuu
Kama ni nyingi lazima mamaako aje na kijiti wakati unakunya akusaidie kuzichokonoa,lakini kama ni moja wee itapita tu wala usiwe na hofu,wanasema kikipita kooni na mk//und//uni kitapita.
 
Kunywa mafuta ya nyonyo kikombe kimoja na papai zima halafu jaza maji kwenye ndoo chooni
 
Utakunya laki, meza nyingine tisa ili unye million!
 
Hapo Jiandae kuota Mbuyu makalioni, Sasa mtu mzima unakula ubuyu ili iweje!.

Wanaume wa Dar Bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…