Kumezuka tabia ya mafundi magari kukata exhaust za magari ya watu bila wao kujua. Mwenye gari Tafadhari soma hii

Catalytic converters contain metals such as platinum and rhodium which fetch high prices on the black market. When values of these metals go up it usually leads to a spate of thefts.
 

Mkuu peeara pole sana kwa majanga uliyokutana nayo. Nadhani kama gari yako iliwaka na kutembea kidogo BASI Mshukuru Mungu kwani kwa baadhi ya watu waliokutana na tatizo kama hili, Engine yake haikuwaka kabisa. Je ni kweli unga wanaouchukua unatumika kama madawa ya kulevya?
Ahsante
 
Ni sawa lakini pia..Carbon ikijaa kwenye exhaust ya gari hua inafanya gari ikose nguvu,na ikikatwa na kutolewa bado siyo shida wala nini sema tu hao walikata na hawakujali kuichomea vizuri lakini ikichomwa vzr wala hakuna tatizo lolote. Kosa lao ni kufanya hivyo kwenye chombo kisicho chao na bado hawakuchoma vizuri hiyo kitu


I have 25yrs nikiwa namiliki magari na ninayajua vyema
 
mimi binafsi nilishaibiwa masega lakn gari ndo inanguvu zaidi ni mlio tu ndo ulibadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…