Ebm1
Member
- Jan 25, 2023
- 6
- 11
Kuna kipindi niko Dar nilifahamiana na binti mmoja alikuwa anasoma UDSM (tumwite Jane siyo jina lake halisi) na mm pia nilikuwa nasoma hapo. Sasa yeye alikuwa na changamoto flani iliyomsumbua sana na kupitia kufahamiana kwetu akawa ameniganda sana na kuniomba nimsaidie. nikaona isiwe tabu maana uwezo wa kumsaidia ninao. Akanizoea sana hadi akawa anakuja kunitembelea kwangu huku akiniita kaka. Sasa na mm familia yangu iko mikoani, kwenda home ilikuwa walau mara moja kwa mwezi au hata miwili. Kuna kipindi uvumilivu ukanishinda, tamaa ikanijia na jinsi alivyokuwa anajisogeza karibu yangu mtu yeyote angeamini kuwa namla. Nilitumia mbinu zote zilishindikana, mtoto ana ulokole uliopitiliza hadi sikuamini. Akakomalia mimi na yeye tubaki kuwa kaka na dada. Sikuamini macho yangu maana hawa mabinti wanaojiita walokole wengi wao wanajificha tu kwenye huo ulokole ukiwagusa tu wanalegea, ila kwa huyu nilichemka. Binti akiingia prayer session utaommba poo. Siku moja akanialika kanisani kwake, kumbe huwa anahubiri.
Sasa baada ya muda nikaachana naye, nikarudi zangu mkoani. Siku moja niko mjini naelekea kupanda usafiri wa umma, nikakutana na mwanamke anayefanana na yule binti copy right kila kitu kasoro mwili tu huyu ana mwili mkubwa kidogo kumzidi yule. Sasa kitendo cha kukutana na huyu mwanamke nilishtuka nikiamini kabisa ni yeye. Na yeye akashangaa, bila shaka aliona kuna hali imenitokea ambayo kashindwa kuielewa. Kwanza kumsemesha nilipata kigugumizi, huku mdomo ukiwa umeshajiandaa kutamka jina la Jane, ghafla nikaahirisha. Nikamsalimia tu kawaida, akanijibu huku ananiangalia na mm namwangalia kuhakikisha kama sio Jane kweli. Kumbe buana tulikuwa tunaelekea njia moja na tukapanda usafiri mmoja na tulikaa pamoja. Mwanamke kajaliwa mzigo huoo, njiani mtingishiko wa gari ulikuwa unasababisha mapaja yake yanibamize mm nikawa nazidi kuchanganyikiwa, huku akili ikiwa inamuwaza Jane.
Njiani nikamwuliza kama ana ndugu au mdogo wake anayekaa Dar, nikamweleza wasifu wake kwa ufupi akasema hakuna hata mmoja. Nikasema basi nimefananisha. Yeye akajibu duniani wawili wawili. Safari iliendelea, yeye akatangulia kushuka, mimi nikaendelea. Baada ya hapo tukawa tunaonana matukio kadha wa kadha. Siku moja nimetoka zangu home nawahi kazini siku hiyo naendesha usafiri wangu mwenyewe, mida ya saa 1 kamili nikamkuta barabarani anasubiri usafiri, nikampa lifti tukasepa zetu town. kazini kwangu ni kabla kidogo ya kufika mjini lakini siku hiyo ikabidi nifike kwa ajili yake. Ikatokea mara kadhaa hali kama hiyo siku zingine jioni tunarudi wote. Kuna siku anashuka akanionyesha kwake, nyumba inaonekana kutokea barabarani.
Sasa siku moja akaniuliza huyo niliyemfananisha naye ni nani wangu? nikajieleza kidogo tu sikutaka kufungua code zote. Akasema sijajieleza vzuri maana tulivyoonana mara ya kwanza ni kama nilishtuka, hukutarajia kuiona sura ya huyo mtu. Nikasema ni kweli lakini sio kila kitu natakiwa nikueleze hadi pale itakapobidi. Sasa shida nyingine, ikawa kila tukiongea hivi tukiangaliana mm nakosa utulivu kabisa, macho yangu yakitua kifuani mwake nikatazama hilo uno naishiwa pozi kabisa. Nikahisi na yeye ameshagundua ila akawa anapotezea. Siku nyingine akanikumbushia tena hilo swali kuhusu huyo niliyemfananisha naye. sasa kila akisema hivyo mm najikuta kama navurugikiwa nashindwa niseme nn.
Mgogoro ulianza pale tulipopeana namba za simu. Ikawa ananitafuta mara kwa mara wakati mm nilikuwa hata simtafuti. Kuna siku tukiwa peke yetu kwenye gari natoka kazini akanibananisha na lile lile swali. Nikajilipua nikaamua kufungua code zote na ikabidi niongezee na viuongo vya hapa na pale kuonyesha jinsi nilivyomjali mtu ambaye hakunijali tena. Akanipa pole ila akanipiga dongo eti wanaume tamaa zinatuponza. Na mm nikampiga dongo nikamwambia ulishawahi kuona wapi jogoo akashindia tetea mmoja? Tukaachana. Sikutaka kabisa kumtongoza, maana niliwaza akinizingua huyu ni hatari zaidi maana tumefahamiana mazingira ya home.
Siku moja akaniomba nimpeleke sehem flani jumapili kuna mzigo anaenda kuchukua, atachangia mafuta. Umbali, akasema sio mbali sema ni usumbufu kutumia public transport so nikimsaidia itaokoa sana muda. Siku yenyewe ikafika, nimetoka zangu home mida ya saa 4, nampitia barabarani mtoto wa kike alivyovaa siku hiyo utadhani anaenda ukumbi wa sherehe. Nikashtuka nikasema unaenda kuchukua mzigo gani huo kwa kupendeza huko? akacheka tuu. sasa njiani yeye ndo ananielekeza njia. tukaenda haooo, hadi nikagundua tumeuacha mji, njia inaelekea hotel moja matata hivi iko nje ya mji, hakuna hata nyumba jirani pako tulivuuuuuu.
Huyu mwanamke noma sana. tunafika hotelini namwona anacheka cheka tuu. nimepaki gari ndo ananiambia wala nisishtuke, hakuna cha mzigo wala nn, nilitaka nikae na ww kwa mazungumzo machache, kama hutojali nisubiri nakuja. akaenda reception. Ile hoteli jengo la reception liko pembeni mwa hotel yenyewe. akaenda, akatoka na mhudumu wakaingia hotelini, baadaye kidogo mhudumu akaja kunichukua kwenda kunionyesha room. Ile nafika room nimefungua mlango akawa amejibanza nyuma ya mlango. Nimeingia tuu kanirukia kunikumbatia anaanza kuninyonya shingo, mara tumedongoka kitandani vurumai tupu... shughuli shughuli..., msosi, vinywaji, shughuli. kuhamaki ni jioni saa 12 tunatoka kurudi home.