Kumfukuza mfanyakazi bila barua hii Nihaki?

youngashley

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
187
Reaction score
52
Mechanica wenye miaka minne leo unampunguza kazini na kumrejesha nyumbani bila, mafao wala malipo yoyote hata barua je akukaa siku Tatu bila kudhuria kazini huyu atakuwa kupunguzwa au kaacha mwenyewe?
 
Mechanica wenye miaka minne leo unampunguza kazini na kumrejesha nyumbani bila, mafao wala malipo yoyote hata barua je a kukaa siku Tatu bila kudhuria kazini huyu atakuwa kupunguzwa au kaacha mwenyewe,????
Kwa sheria za nchi ya TZ kwa sasa usipokuja kazini ndani ya siku tano mfululizo utakuwa umejiachisha kazi, yani umefikia kiwango cha kufukuzwa kazi.Ila tofauti na hapo unapewa onyo.
 
Kwa sheria za nchi ya TZ kwa sasa usipokuja kazini ndani ya siku tano mfululizo utakuwa umejiachisha kazi, yani umefikia kiwango cha kufukuzwa kazi.Ila tofauti na hapo unapewa onyo.
Je?? Hawa baada ya siku Tatu watakuwa wajiachisha au wajiachisha?
 
Wanatakiwa wapewe onyo tu, ila kama tayari wana onyo kama hilo zaidi ya mara tatu ndani ya miezi sita watakuwa wamejifukuza wenyewe
Mkuu golden pride una maana gani unaposema Ndani ya Miezi 6?
Una maana Onyo baada ya Miezi 6 linafutika?
Hawaweki kwenye file lako tena?
Na hiyo ni sheria au ni nini?
 
Wanatakiwa wapewe onyo tu, ila kama tayari wana onyo kama hilo zaidi ya mara tatu ndani ya miezi sita watakuwa wamejifukuza wenyewe
Huyu mfanyakazi kapumzishwa na kampuni bila yeye kuwa namakosa yoyote??? Vipi apewe oyoo???
 
Mkuu golden pride una maana gani unaposema Ndani ya Miezi 6?
Una maana Onyo baada ya Miezi 6 linafutika?
Hawaweki kwenye file lako tena?
Na hiyo ni sheria au ni nini?
Onyo linafutika ndani ya miezi sita kama halitojirudia tena.Wanaweka kwenye file kwa kumbukumbu
 
Mkuu weka maelezo yote kwa uwazi, kwani hawajampa sababu ya kumpumzisha
Mkuu hakuna cha maelezo ila wameambiwa tu nendeni nyumbani, mje jm3 mchukue ela yenu hiyo ni bila barua wala notice yoyote mkuu
 
Kwa sheria za nchi ya TZ kwa sasa usipokuja kazini ndani ya siku tano mfululizo utakuwa umejiachisha kazi, yani umefikia kiwango cha kufukuzwa kazi.Ila tofauti na hapo unapewa onyo.
ningeomba unitajie iko kipengere cha sheria maana sheria zote zina vifungu vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…