Kumfukuza Nabi ni kumwonea, tatizo la Yanga hili hapa

Mkuu umeongea ukweli sana na kuna baadhi ya nukta umezigusia ambazo nilikuwa nampango nije niziainishe watu wasome ila thanks umenitangulia na waliopata bahati ya kusoma kuna kitu wanaweza kutoka nacho hapo

Yanga ni timu inayoendeshwa kihuni kisela au tunaweza sema kishkaji. Yaani kuna baadhi ya vitu ambavyo huwezi kutarajia kuviona vinafanywa hata na mshabiki lakini unakuta ndio kwanza kiongozi wa juu wa Club ndio anafanya.
 
Unaweza kuendelea kukatika haya mauno Sasa?
 
Upepo ukivumq nyeti za kuku hubaki nje...haya ndo yanajitokeza hapo utopoloni..uhalisia utabakia vilevile...janja janja haina nafac kimataifa
Endelea kujamba Maputo ushindiliwe ukuni.
 
Kimataifa nyie kipimo chenu mikia si mwarabu........Yanga kamtandika tena kwao njoooni tena na taarabu zenu
 
We Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC maneno meengiii ila pumba tupu au bwimbwi limekukolea?
 
Hivi mtoa post hii huwa hata anachungulia posti yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…