Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Wabunge wote wa Sukuma gengi wamehamishiwa kwenye kamati ya sheria ndogo siujui hiyo kamati haina effect
Tayari ni kamati ya sheria ndogo hivyo haina madhara makubwa.

Washajulikana kuwa kundi lao ni hatarishi
 
Ila jua yule ni MWENYEKITI

LAKINI SI BADO NI MBUNGE WACHA TUENDELEE KUMWOMBEA KWA MUNGU AMJALIE MEMA ZAIDI
 
Ameanza kupinga chanjo ya malaria lakini hajawahi kusikika kupinga matumizi ya ARV na kushauri watu watumie tiba asili.
Kweli hii comment yako naona kama maajabu kwangu kweli wewe wakuandika hivi????!!
 
100% ni msukuma na ni mojawapo ya waliokuwa nyuma ya sukuma gang
Mungu wangu! Yaani Mkuu wa majeshi msukuma, Diwani naye naskia kanda ya ziwa, Siro kanda ya ziwa, Bashiru kanda ya ziwa,mawaziri kibao kanda ya ziwa,katibu wa Ikulu kanda ya ziwa,Polepole kanda ya ziwa..Mh kumbe palikuwa na shida kidogo!
 
Diwani sio kanda ya ziwa ni kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…