K kamwamu JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,521 Reaction score 3,309 Oct 16, 2021 #241 Hakainde said: Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati? Mwenyekiti wa Kamati anachaguliwa na wajumbe siyo Job Click to expand... Job anapanga kamati, kuhamisha kamati hawezi hama na uenyekiti. Hoja ilikuwa kumvua uenyekiti na kama lingefanywa na wanakamati ingeleta athali kwa CCM, wakaona ahamishwe kamati.
Hakainde said: Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati? Mwenyekiti wa Kamati anachaguliwa na wajumbe siyo Job Click to expand... Job anapanga kamati, kuhamisha kamati hawezi hama na uenyekiti. Hoja ilikuwa kumvua uenyekiti na kama lingefanywa na wanakamati ingeleta athali kwa CCM, wakaona ahamishwe kamati.