Kumhasi mbwa (Castration)

[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti kiarufu cha bakery. Ni kwa nini sisi binadamu hatuwezi kukihisi( smell)

Wanadamu siyo rahisi kuisikia hiyo harufu ya "Tanuru Dogo la Mikate" kwa sababu ya kuugua mafua mara kwa mara. Vile vile mbwa wana cells zipatazo 3,000,000,000 za kunasa harufu wakati wanadamu wana cells 1,000,000 tu za kutambua harufu mbalimbali.

Kwa hiyo uwezo wa mbwa kutambua aina ya harufu ni mara elfu 3 zaidi ya uwezo wa mwanadamu. Ndiyo maana mbwa anauwezo wa kutambua madawa yaliyofichwa chini ya ardhi mita 5 kwenda chinini.

Ndiyo maana wenye biashara za madawa machafu wanakamatwa kwa urahisi sna kwa kutumia mbwa - Mungu Mkuu.
 
"Bakery ndogo" [emoji23]
 
Na jike tunamfanyaje ili asijiskie hamu
 
Nasikitika kukuambia kua mmbwa wangu alipotea,nimemtafuta bila mafanikio!kwa sasa nafuga paka!
Nilitaka kujua daktari alikuambia nini kuhusu kumhasi Mbwa haijalishi amepotea au alikufa.Nahitaji jibu la kitaalam Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…