Mayele ndio moja hapoHii top ten yangu .
Wengine mnaweza weka yenu tupate ..ya wote .. ikiwezekana
1.Karim Mandonga
2.Mayele
3.Chama..
4.feitoto
5.Kiduku..
6.Mwakinyo
7.Phiri
8.Aziz Ki
9.Barbara Gonzalez
10. Ahmed Ally..
Walio karibia top ten
Manara
Eng Hersi
Boko
Karia ..
List yako ikoje?
Mandonga ndiye mtu maarufu zaidi Tanzania
Madunduka fc huwa hawajifichiWatu wapo shirikisho la waliofeli unawaweka wa nn
Jidanganye amzidi hata mayele huyoMandonga ndiye mtu maarufu zaidi Tanzania
Mwaka huu kabisa ambao umefikisha siku 5🥵🥵🥵Ila Mandonga katrend sana mwaka huu
😀😀😀Akili ya kwamba mwaka umegeuka na nature ya UziMwaka huu kabisa ambao umefikisha siku 5🥵🥵🥵
Hiii a.k.a mbona imekaa poa sana ni ya timu gani?.kikwetu ni watu wapambanajiMadunduka fc huwa hawajifichi
Sasa mbona madunduka wenyewe ni legelege sana 😀Hiii a.k.a mbona imekaa poa sana ni ya timu gani?.kikwetu ni watu wapambanaji