Kumi bora za bongo zilizonibamba 2016

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
AJE aly kiba
PERFECT COMBO joh makini
KAJIANDAE ommy dimpoz
NITAMPATA WAPI dimond platnums
SKENDO mo music
MBOGA SABA mr blue
TOO MUCH darasa
NISAMEHE baraka the prince
KWETU rayvanny
UNCONDITIONALY BAE saut sol

Kwangu mimi hizi hazichuji masikioni watunzi walijikakamua kunishawishi
 
1. Mboga Saba - Mr Blue Byser
2. Ligi Ndogo - Bill Nas
3. Too Much - Darasa
4. Chafu Pozi - Bill Nas
5. Arosto - G Nako
 
NITAMPATA WAPI hiyo ni ngoma ya mwaka huu kweli?
 
Mbele kwa Mbele-CCM

Hii imebamba sana vile vile
 
(1) Wataisoma namba
(2) Wataisoma namba
(3) Wataisoma namba
(4)
(5)
(6)
(7)
(8)
(9)
(10) Wataisoma namba
 
Taifa linaangamia kwa kuwa na vijana wenye matatizo ya mawasiliano Kati ya macho na ubongo km ww.

Ntampata wapi 2016
 
Too much
Mboga saba
Run DSM p the mc
Nilipize ibranation
Kipenda roho rama dee
 
1.kijuso Queen dalini. 2.bayoyo abdukiba 3.supu gigy money ft matonya 4.pale kati ...... Ney. 5 my money. Hamisa
 
wakuu, mwenye wimbo mpya wa belle 9 naomba aweke link
 
Yangu hii
1.muziki - darasa
2.aje - alikiba
3.sugu - rayvany
4.my heart - Diamond
5.manuari - Kassim
6. Sisikii - maua sama
7. Forever - Ruby
 
1. wivu jux
2. kidogo diamond ft paquare
3. kidebe dogo janja
4. kokoro - WcB
5. cash madame ya vanessa mdee
6. Forever - ruby
7. tekenya tekenya -manfongo
8. Niroge - vanesa mdee
9. kwetu- rayvanny
10. lover boy- barnaba
10. bilnas - chafu pozi
10. zigo remix
10 kama utanipenda - darassa
 
1. Hainaga ushemeji - ManFongo
2. Aje - Alikiba
3. Muziki - Darasa
4. Salome - Diamond
5. Kamatia chini - Navy Kenzo
6. Moyo Mashine - Ben Paul
7. Ndindindi - Jide
8. Bado - Harmonize
9. Kwetu - Raymond
10. Chafu Pozi - Bill Nas


Nyinginezo:
Mboga saba - Bluu, Too much - Darasa
 
1- AJE
2- MOYO MASHINE
3- MABAWA(msami)
4- kidogo (pyzer)
5- watais0ma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…