KUMI MUHIMU: Sababu Kumi za kiafya kwanini Unatakiwa kuanza kula tende!

Nic..

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
145
Reaction score
160
Source: Kumi Muhimu Blog.

1.Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora!

2.Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa anemia kutokana na kuwa na madini mengi ya chuma.

3.Hupunguza uwezekano wa kupata Kiharusi (stroke) kwani hazina cholesterol kabisa! Pia zina vitamini na madini kwa wingi.

4. Huongeza uwezo wa Kujamiiana kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha nguvu

5.Hupunguza madhara ya pombe mwilini na kurudisha afya ya mtu.

6.Zina kiasi kikubwa cha kamba kamba ambazo hufanya mtu apate choo kirahisi na laini

7. Licha ya kuwa tamu, tende haziongezi kiwango cha sukari mwilini, hivyo zinaweza kutumika kama mbadala wa sukari

8. Huimarisha Mifupa na kuondoa maumivu ya mara kwa mara ya mifupa kutokana na kuwa na madini ya chuma, na potassium kwa wingi.

9. Tende ina msaada mkubwa kwa mama mjamzito, humuongeza nguvu, na hazina madhara kiafya kwa mtoto. Pia husaidia kupata uzazi salama

10.Ulaji wa tende kwa wingi husaidia kuongeza mwili kwa wale waliokonda kupita kiasi. Hivyo hushauriwi kula tende kupita kiasi kama huhitaji kuongeza mwili.

From:::>> KUMI MUHIMU BLOG<<::
 
Chukua tende toa tunda,changanya na maziwa,weka katika brenda,ukimaliza weka katika fridge ipoe,kunywa, baada ya wiki hadi mwezi,kiwango cha kupachika mabao kitaongezeka maradufu,
 
NYONGEZA: Mbegu zake Dawa ya vimawe ktk figo (Kidney Stones)
 
Matayarisho yake ni kama ya Buni (kahawa) kaanga, twanga, chekecha ule unga tafuna na vitunguu maji kisha kula asbh na jioni, kunywa maji mengi hata harufu ya ule unga na rangi ni kama kahawa.
 
Reactions: ram
Matayarisho yake ni kama ya Buni (kahawa) kaanga, twanga, chekecha ule unga tafuna na vitunguu maji kisha kula asbh na jioni, kunywa maji mengi hata harufu ya ule unga na rangi ni kama kahawa.
asante mdau!
 
niliTumia TENDE+ASALI+GLUCOSE+TANGAWIZI+VITUNGUU SAUMU+UWATU+HABAT SODA+MISK OIL+KARANGA+MDALASINI=Hakuna nilichopata zaidi ya kujamba hovyo,
nilitumia kwa mwezi mmoja Asubuhi na Jioni.....nilijua baada ya hapo niTakuwa na Nguvu dunia nzima mimi peke yangu!!
 
Majigo umenifurahisha sana lakini mimi nilitumia asali na maziwa niliona mabadilikio japo intetion yangu haikuwa kuongeza nguvu lakini ngoma ilikuwa ikisimama hadi misuli inauma.
pole kwa kutofanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Majigo umenifurahisha sana lakini mimi nilitumia asali na maziwa niliona mabadilikio japo intetion yangu haikuwa kuongeza nguvu lakini ngoma ilikuwa ikisimama hadi misuli inauma.
pole kwa kutofanikiwa

basi mwenzio havijanisaidia kwa lolote
sijui nina matatizo gani?
 
Last edited by a moderator:
Majigo umenifurahisha sana lakini mimi nilitumia asali na maziwa niliona mabadilikio japo intetion yangu haikuwa kuongeza nguvu lakini ngoma ilikuwa ikisimama hadi misuli inauma.
pole kwa kutofanikiwa
Asante kwa kushare nasi!
 
Nliwahi kutumia tende na maziwa, nikatengeneza milk shake nzuri sana. Inasaidia sana digestion, constipation na mambo mengine mengi tu.
 
tatizo zinasukar ile huwa inanishinda
 
Kama kwenye hizo sababu hakuna ishu za kuongeza nguvu za kiume, basi hakuna atakayenunua wala kusoma tena comments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…