KUMI MUHIMU: Sababu Kumi za kiafya kwanini Unatakiwa kuanza kula tende!

Napenda sana kula tende na nilikuwa sijui faida zake sasa hivi itabidi nizidishe kuzila
 
mimi nauza tende shek (juice ya tende) kwa kweli nimepata wateja wengi hasa wa kiume na kwa kweli wamenishukuru sana kwa kuwarejeshea nidhamu majumbani mwao.nipo tanga barabara ya tisa karibu na tangamano na pia kijiji cha pongwe nje kidogo ya jiji la tanga.Karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…