Kumi wawa discontinue udom

papachu

Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
29
Reaction score
1
wanafunzi kumi wa college of informatics UDOM wame discontinue kwa makosa ya kushikwa na nyenzo(nondo,ngima,vikaratasi) katika chumba cha mtihani
 
wanafunzi kumi wa college of informatics UDOM wame discontinue kwa makosa ya kushikwa na nyenzo(nondo,ngima,vikaratasi) katika chumba cha mtihani

Mkuu hizo Disco niza lini? Maana mnajiandaa na UE kwa sasa na vp walodisco ni mwaka wa ngapi?
 
pambafu kabisa vijana wa siku hizi....akili mmeziacha wapi?
 
Du walikuwa hawajui ukikutwa na kibomu unagrauate hapohapo?
 
Du walikuwa hawajui ukikutwa na kibomu unagrauate hapohapo?

Asante kwa taarifa. Ndo kusema college pekee ambako wanafunzi wanadisco ni informatics tu? Mbona colleges zi zaidi ya hiyo, huko kwingine kuna nini au ndo kusema hawaingii na nondo na vibomu? au wana njia mbadala yao yakuwanusuru?
 
That's great! wanafunzi wa siku hizi wengi hawataki kusoma kwa bidii,kujifunza kwa kuzingatia kanuni za kujifunza ila wanataka vyeti tu.Take this;mwenye akili anajali kuongeza maarifa na siyo kutafuta vyeti.
 
wanapoteza muda mwingi kuandaa agenda za migomo mpk wanakosa muda wa kusoma
 
hiki chuo bana.mwanangu hatakuja kusoma hapo!
Atakuja kufundishwa na waliosoma hapo. Maisha ni duara. Waliosoma hapo watamfundisha au kuwa viongozi/watawala wake. POLE SANA NDUGU, LABDA AKASOME HARVARD AU UDSM; NDIO WANAOMALIZA UDOM HAWAWEZI KUFUNDIHSA HUKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…