sheria zakijamaa hazina ishu
Wadau wa JF salaam,
naomba kujuzwa maana labda mie nimesahau, nakumbuka katika nchi yetu kuna sheria ilikuwepo sijui kama ilishaondolewa au la, sheria yenyewe ni kuwa inakataza mtanzania aliyepo nchini kumiliki akaunti ya fedha nje ya nchi. Je hii sheria ilishafutwa au bado ipo? Natanguliza shukurani
!!!..?Ujasoma shule vizuri ukagunduwa faida na hasara zakuweka fedha mtu binafsi nje ya nchi. Nilazima ujuwe kwa kadiri mtu anapokuwa na fedha ya halali na kuiweka bank anaiongezea bank uwezo wa kukopesha tena ata kuwa na uwezo wa kuikopesha serikali. Na hili lipo ktk money loundering act if i'm not mistake. Israel wazir alijiuzulu ktk kashifa kupokea fedha kutoka nje. What about us wale wanapeleka ktk ma bank ya nje?
Mwanakiji tunaomba ufafanuzi wa hili suala la watu kumiliki Vijisenti (a.k.a Chenge) nje ya nchi, kuna sheria ihusuyo jambo hilo?
Mwanakiji tunaomba ufafanuzi wa hili suala la watu kumiliki Vijisenti (a.k.a Chenge) nje ya nchi, kuna sheria ihusuyo jambo hilo?