Inasikitisha sana fani hii ya pharmacology inaingiliwa na kila mtu.
Tatizo ni kuwa wafamasia hawajajitokeza kuelezea na kutetea umuhimu wao ktk kuhakikisha wanatambulika kama wataalamu wa fani hii ya madawa.
Hata website ya serikali inayoelezea nafasi ya wafamasia katika kushiriki katika kuwapatia watanzania huduma bora na salama hakuna taarifa za kutosha.
Wafamasia wanashindwa kueleweka umuhimu wao ktk jamii ya kiTanzania tofauti na fani zingine zinazoheshimika na kufahamika kama za manesi na madaktari wa binadamu . Hata ka website cha school of pharmacy MUHAS
Publications kana sikitisha.
Wafamasia Tamzania wanaonekana hawana tofauti na wauza mizizi na magome ya dawa za kienyeji .
Angalau Dr. Idris Mtulia alijitahidi na kuacha legacy ktk fani ya pharmacology:
Pharmacology & therapeutics: A manual for medical assistants and ...
Pharmacology & therapeutics: A manual for medical assistants and other rural health workers (Rural health series) [Mtulia, I. A. T]