Dave official
Member
- Jul 27, 2022
- 38
- 90
Pamoja na laptop kuwa nyingi, mpaka sasa hakuna laptop zilizoripotiwa kuwa kanyanga.Habari na JF, now days kumekuwa na wingi wa laptop, hivyo kupelekea ongezeko la wauzaji
Hivyo vigezo ulivyotaja hapo ni muhimu sana mzee kwenye performance.Pamoja na laptop kuwa nyingi, mpaka sasa hakuna laptop zilizoripotiwa kuwa kanyanga. Laptop mbovu zilitokea
Nitakwambia kwanini ni mbwembwe, kwanza watumiaji wengi wa laptop matumizi yao ni kama wanafunzi, kuangalia movie, internet, pdf MS word, Excel etc ambayo wala hayahitaji mambo mengi, wachache wenye kazi za graphics, autocad, games zinazohitaji mashine kubwa. Ila sasa, kila anayetafuta laptop ya kununua utasikia hiyo ni generation ya ngapi!?,kama unabisha waulize maana yake, wengi hata hawaelewi. Iwe Coi3,5,7, ... 1st, 2nd,... 8th generation, kwa matumizi ya walio wengi zote hizo zinawafaa tu. Ila ubishoo tu na mbwembwe za wabongo tu. Ni kama Xiaomi,Oppo,Infinix,Samsung, Nokia, Iphone X,12, 14 sijui ProMax, zote zinafaa tu, zinabakia mbwembwe za nyongeza kwa mtu binafsi kutegemea na kipato chake. Ila kwa matumizi ya kawaida ya Smartphone zote zinafaa sana tu.Hivyo vigezo ulivyotaja hapo ni muhimu sana mzee kwenye performance.
Sio mbwmbwe hizo.
Unless kwako kazi ya laptop ni kuinstall VLC huwezi andika hii comment, umepotosha sana. Utanunua laptop ya Celeron umpe mtu afanye video editing? Utanunua core i3 gen ya kwanza utumie kwenye Autocad ama uchezee games?Pamoja na laptop kuwa nyingi, mpaka sasa hakuna laptop zilizoripotiwa kuwa kanyanga.
Laptop mbovu zilitokea miaka ya 2010,2011,2012.. hapo, na nyingi zilizokuwa mbovu zilikuwa zinakuja zikiwa mpya kwenye box.
Baada ya watu kugundua na kuanza kununua used za UK,Us, etc sijasikia tena laptop feki. Kuwa nyingi mtaani ni sababu ya oyaoya bandarini.
Ila % kubwa ya laptop zinafaa, itategemea unataka kufanyia nini.., hayo mambo ya Coi7, sijui Generation ya ngapi ni mbwembwe tu za wabongo, na wengi hawajui hata maana yake wanafata mkumbo tu.
Hata wanafunzi mkuu, kuna wanafunzi wa engineer, computer science, Ardhi, hesabu etc. Wote wa nahitaji computer nzuri kutokana na program zinazotumika shule. Si kila mwanafunzi anasomea political science ama public relation.Nitakwambia kwanini ni mbwembwe, kwanza watumiaji wengi wa laptop matumizi yao ni kama wanafunzi, kuangalia movie, internet, pdf MS word, Excel etc ambayo wala hayahitaji mambo mengi, wachache wenye kazi za graphics, autocad, games zinazohitaji mashine kubwa. Ila sasa, kila anayetafuta laptop ya kununua utasikia hiyo ni generation ya ngapi!?,kama unabisha waulize maana yake, wengi hata hawaelewi. Iwe Coi3,5,7, ... 1st, 2nd,... 8th generation, kwa matumizi ya walio wengi zote hizo zinawafaa tu. Ila ubishoo tu na mbwembwe za wabongo tu. Ni kama Xiaomi,Oppo,Infinix,Samsung, Nokia, Iphone X,12, 14 sijui ProMax, zote zinafaa tu, zinabakia mbwembwe za nyongeza kwa mtu binafsi kutegemea na kipato chake. Ila kwa matumizi ya kawaida ya Smartphone zote zinafaa sana tu.
Ni mwandishi wa vitabu, hivyo nahitaji kuandikia vitabu na kutunza documents zote, pia kurecord na kutunza mahubiri ya mchungaji wangu.Nunua laptop kulingana na matumizi yako boss.
Unataka kwaajili ya kazi gani?
Muhimu ram rom na processor
Core i2 inakutosha kabisa,processor 1.8GHZ disc ni optionalNi mwandishi wa vitabu, hivyo nahitaji kuandikia vitabu na kutunza documents zote, pia kurecord na kutunza mahubiri ya mchungaji wangu.
Nadhani hapa unamaanisha Intel Core 2 Duo ambazo Intel hawazisapoti tena Kwa updatesCore i2
Kuliko kuwa na Intel core 2 ni nafuu kuwa na pc yenye intel i3 zinazoishia na herufi U mfano intel i3 8130u ambazo zina ulaji mdogo WA umeme na pafomansi nzuri kuliko core 2 huku ukiwa na uhakika WA updates, wakati core 2 zinakula umeme mwingi na utendaji mdogo bila kujali Aina ya kaziinakutosha kabisa,processor 1.8GHZ disc ni optional
Kuna jamaa ana laki 5. Ipi laptop inamfaa. Yuko chuo.Unless kwako kazi ya laptop ni kuinstall VLC huwezi andika hii comment, umepotosha sana. Utanunua laptop ya Celeron umpe mtu afanye video editing? Utanunua core i3 gen ya kwanza utumie kwenye Autocad ama uchezee games?
Ryzen 3500U ama intel 8th gen zinapatikana kwa hio budgetKuna jamaa ana laki 5. Ipi laptop inamfaa. Yuko chuo.