Wimbo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 866 Reaction score 625 Dec 14, 2021 #1 Mh. Japho temmbelea highy way zetu uone zilivyochafuliwa na chupa za plastic na mabaki mengine yanayotupwa hovyo na mabasi na watumiaji wengine, utajua hujui na ukiwa mzalendo unaweza uka signoff.
Mh. Japho temmbelea highy way zetu uone zilivyochafuliwa na chupa za plastic na mabaki mengine yanayotupwa hovyo na mabasi na watumiaji wengine, utajua hujui na ukiwa mzalendo unaweza uka signoff.
Sijali JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 2,672 Reaction score 1,814 Dec 14, 2021 #2 Mods kuna watu watahama hii site maana inazidi kuwa 'unintellectual'. Mahili, gali.....hamwezi hata kusahihisha? Kazi yenu nini?
Mods kuna watu watahama hii site maana inazidi kuwa 'unintellectual'. Mahili, gali.....hamwezi hata kusahihisha? Kazi yenu nini?