Kumkopesha mwanamke inahitaji akili

Ukiona tu Mwanamke anakukopa jua alishakutaka Kimapenzi Siku nyingi ila hujamgundua hivyo sasa anatumia Mbinu hii ili akutege huko mbeleni.
 
Ukimkopesha usijiingize kwenye mahusiano nae atalipa
 
Hee inahitaji akili nyingi sana,mwishowe unaweza ishia kumla papuchi tu.
.... Saa ingine hata hiyo papuchi usiione, ukaishia kuambiwa unataka papuchi bila kufuata utaratibu! Hapo ukishajaziwa watu, kudhulumiwa nje nje!
 
mwanamke hakopeshwi anapewa πŸ˜€ πŸ˜€
 
umeua mtu huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…