Kumkosa Umpendaye Kwa dhati

Too bad for him atakuwa alikuwa na hali mbaya sana
 
Right time!!
Unamchunguza mtu mwaka mzima, unachunguza nini?
Mbaya zaidi hata anayechunguzwa hajui kama anachunguzwa.
Mmmmh pole kaka angu, lakini umejifunza kutokana na makosa.
 


hadithi hii inatufundisha tusiwe ma-super thinker kama huyo kaka. Asante sana, Karen_Happuch.Am not :thinking: thinking any more.............
 
Pole sana mungu atakujalia utapata wa kufanana na wewe ambae utampenda, kuna dada mmoja alikuwa anapenda kuongea "mtu haoi wala haolewi na mme/mke wa mtu" yaani alimaanisha mtu kama hujapangiwa na mungu awe mwenza wako huwezi force sababu tangu anazaliwa mungu alishampangia wa kufa nae. na huwezi jua mungu kakuepushia nini kwa hiyo kaa chini upange karata zako upya utakuwa happy tena tu.
 

Pole sana!

YouTube - LIONEL RICHIE - You Are


 
pole sana, story yako inatufundisha tusichunguze chunguze sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…