Kumlipa Fei Toto mshahara wa mhindi ni udhalilishaji mkubwa sana, mwacheni aende zake Azam

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mnaiifanya nyie matajiri mna hela, mkimtaka mtu hamumkosi kumbe usanii mtupu, hvi tuwe wa kweli Fei Toto alipwe mshahara wa m 4 kwa mwezi halafu Morrison alambe M 19, Aziz Ki alambe 22, Mayele alambe 16, Aucho alambe 6, Fei Toto alipwe M 4, kweli jamani.Tuwe wa kweli nyie wafu wa Yanga mnaona saaa hii, acheni dhuluma jaman.

Mafanikio yenu mnayotamba nayo Leo Fei Toto ana mchango asilimia 90, Leo mnamlipa m 4, sasa wanaojua thamani yake wanataka kumpa 16 kwa mwezi nyie mnabana, huu uhujumu uchumi na mnatakiwa mkale gerezani sikukuu, shida yenu mnashauriwa na albino, bichwa kubwa akili sifuri.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Kwa biashara gani haswa ya kulipa wachezaji hela ndefu?

Ile ile ya magodoro au kuna nyingine?

Mbona hata CAG angestuka
 
Kama feitoto kabeba mafanikio ya Yanga 90%, basi Mayele atakuwa amebeba 2% na izo 8 zilizobaki zigawanywe Kwa wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hee, Umesema Walikuwa Wanamlipa Ngapi Vile..?

Afu wanamng'ang'ani,Nimesikia Mwanasheria Wao anadai Watamburuza Mahakamani!!
 
Sasa si asubiri mkataba uishe aende huko Azam, au kama ana hela ya kuvunja mkataba basi avunje hakuna mambo kwenda kienyeji
 
Hee, Umesema Walikuwa Wanamlipa Ngapi Vile..?

Afu wanamng'ang'ani,Nimesikia Mwanasheria Wao anadai Watamburuza Mahakamani!!
Hakuna mwanasheria kilaza bongo kama yule wa asikutie pressure hamna kitu pale ni empty box hana anachojua
 
Hiyo million 4 ndiyo makubaliano yao ambayo alisaini Yanga mwaka 2020 kwa wakati huo hiyo pesa ilikuwa inamlipa,usichokijua kwa uongozi wa Yanga tayari ilianza mazungumzo na wanaomsimamia Feisal ila ghafla yametokeo hayo sema haya mambo tunajadili kishabiki hakuna asiyejua kazi na uwezo wa Feisal
 
Hee, Umesema Walikuwa Wanamlipa Ngapi Vile..?

Afu wanamng'ang'ani,Nimesikia Mwanasheria Wao anadai Watamburuza Mahakamani!!
Hata kama ingekuwa analipwa shilling Elfu 3000 si alikubali? au huo mkataba alilazimishwa kusaini?
 
Kama feitoto kabeba mafanikio ya Yanga 90%, basi Mayele atakuwa amebeba 2% na izo 8 zilizobaki zigawanywe Kwa wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

The power of Math
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…