Kummiss your ex girlfriend/boyfriend

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Jaman,ivi hii kitu huwa inawapata na nyie au ni mimi tu?
 
ni wewe tu, na inaelekea bado unapenda na hapo ulipo upo kwasababu huna jinsi yaaani humpendi.
 
Follow your heart kama haujakuta kitu is 'already taken'.hapo ulipo sipo kwenyewe.
 
unammiss as a friend au kama mpenzi?
 
I wish nothing but the best for you.....................
 
hmm kummiss X aisee hili halijawahi nipata nahisi sababu sijakosea hata nukta kwa yule nilienae sasa...inawezekana bado unampenda yulee,huyu ulienae hajafikia au anamapungufu kwa vile wewe uvipendavyo :spy:
 
huyo mrudie mkuu kama na yy ataridhia.
ila hakikisha kilichowafanya mkanuniana mnakitatua ili kisiwasumbue tena hapo baadae.
 
Senetor mzee wa malavidavi,
hilo halijawahi nipata....
 
Last edited by a moderator:
Jaman,ivi hii kitu huwa inawapata na nyie au ni mimi tu?

Mkuu Senetor mi nawamiss ma X wangu kama watatu hivi., sasa sijui bado nawapenda au ndo kusemaje..:sleepy:
 
Last edited by a moderator:
we kua mbishi...ukishatupa kule unatambaaa unamiss miss kitu gani wewe...!
ukauzu tu hapo tena usidelete namba wala kufuta picha zake na fb ucmblock, ukifanya hvyo utakua na uhuruna ubish wa ukweli.
 
Jaman,ivi hii kitu huwa inawapata na nyie au ni mimi tu?

Depends on what you have been sharing...and the time involved.
Sio kosa kumiss mambo mazuri mliyofanya pamoja.
 
Jaman,ivi hii kitu huwa inawapata na nyie au ni mimi tu?

hiyo huwa inatokea sana, na ukiona hivyo ujue kuna ulilobakiza huko. mpenzi huwa ni mchanganyiko wa mambo mengi yawezekana mlikosana kwenye jambo moja lakini mengine alikuwa ana faa sasa ukilinganisha na kumkosa au na huyo uliyenaye sasa ndio unajua thamani yake baada ya kumpoteza, hujachelewa 'Baby Come Back' inaweza ikafanyakazi ukampata tena
 
Inaweza kutokea kama hujampata mpya
 
Jaman,ivi hii kitu huwa inawapata na nyie au ni mimi tu?

Huwa inatokea, mara nyingi kama mahusiano yenu yalivunjika kutokana na external forces, i mean shinikizo toka nje na siyo nyinyi wenyewe! Pia hutokea sometimes kama pale ulipoangukia kwa sasa, hapajukupa treatment zinazofikia kule alikokuwa ....

Cha msingi jiamini na pia amini na kuheshimu maamuzi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…