Kummiss your ex girlfriend/boyfriend

nahisi hamna ubaya kama una mmiss ue ex,, inatokeaga hiyo tena a lot...bt eventually if u r away frm his/her site then inaisha tuu
 
Kunwa swaga fulani unique za X wako unaweza kuzimiss, you know what I am saying?
 
umepatwa na ugonjwa wa SITAKI NATAKA. Ugonjwa huu husababishwa na maamuzi ya haraka bila kufikiria kama uko tayari kuachana na mpenzi wako hali inayopelekea kumuacha wakati bado unampenda na kumhitaji. Dawa yake ni kula matapishi yako, yaani umrudie la sivyo endelea kum-miss!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…