Hiyo inawezekana, lakini indirectly..Ni mjadala niliousikia leo kwenye daladala nilipokuwa nakuja kazini. Wanawake wawili walikuwa wameketi viti vya mbele yangu na walikuwa wanamjadili mwenzao ambaye walikuwa wanamtaja jina mara kwa mara kuwa ndiye aliyesababisha kifo cha mumewe kutokana na kumnyima unyumba.
Ati wakuu mwanaume anaweza kufa ati kisa tu kunyimwa unyumba na mkewe?
Yawezekana kabisa!
Mwenzio alikuwa anakupa ile kitu katika namna ambayo huwezi kuielezea halafu ghafla tu anakatisha huduma; hamna maelezo wala shutuma; kila ukiuliza anakwambia hakuna tatizo; lakini ndoa unaendelea kunyimwa; lazima ushikwe na kihoro na ukikosa ushauri mwafaka presha inakupanda na hapo kama hakuna huduma lazima uzimike!
weeeee! hafi mtu hapa! walahi bilai ndugu yake balali!!
labda akakanyaga miyawa jee! mke kamuua mumewe hapo na familia ya mume walitakiwa wam sue mwanamke 😀
hujaelewa sredi ama kitu gani?Mie huwa hata sielewi hii mambo inavyokwenda-
mmmh!!! si ungewauliza. labda walimaanisha jamaa alikuwa napiga nje akapata ngwengwe ikamchukua...
Ni mjadala niliousikia leo kwenye daladala nilipokuwa nakuja kazini. Wanawake wawili walikuwa wameketi viti vya mbele yangu na walikuwa wanamjadili mwenzao ambaye walikuwa wanamtaja jina mara kwa mara kuwa ndiye aliyesababisha kifo cha mumewe kutokana na kumnyima unyumba.
Ati wakuu mwanaume anaweza kufa ati kisa tu kunyimwa unyumba na mkewe?
Yawezekana kabisa!
Mwenzio alikuwa anakupa ile kitu katika namna ambayo huwezi kuielezea halafu ghafla tu anakatisha huduma; hamna maelezo wala shutuma; kila ukiuliza anakwambia hakuna tatizo; lakini ndoa unaendelea kunyimwa; lazima ushikwe na kihoro na ukikosa ushauri mwafaka presha inakupanda na hapo kama hakuna huduma lazima uzimike!
Ni mjadala niliousikia leo kwenye daladala nilipokuwa nakuja kazini. Wanawake wawili walikuwa wameketi viti vya mbele yangu na walikuwa wanamjadili mwenzao ambaye walikuwa wanamtaja jina mara kwa mara kuwa ndiye aliyesababisha kifo cha mumewe kutokana na kumnyima unyumba.
Ati wakuu mwanaume anaweza kufa ati kisa tu kunyimwa unyumba na mkewe?
Hata mimi ningekufa, tena after three days.