Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

Mie kweli nikinyimwa ninaweza kurudi nilikozoea zamani, yaani viwanja. Na kule ni kondom daima, so suala la kuikanyaga ni almost hakuna.
 
Ni rahisi sana kuamua hivi ikiwa

1. Ulimpenda juu juu
2. Hajavuka kiwango amabcho umewahi kufikishwa
3. Hajakuzalia ka binti kazuri kanakofanana na marehemu mama yako ama ka handsome boy ambako ni fotokopi yako haswaaa!

Ni rahisi sana; wala hujiulizi mara ya pili!
 
kumbe ni rahisi kumuua mwanaume eeh?

Yaani ni kama na wewe ulikuwepo walivyokuwa wanapokezana point kwenye mazungumzo yao. Walidai mume akinyimwa hachukui raundi, lazima afe! Ati walidai ni bora mwanaume akishindwa mwenyewe kufanya sababu ya kuishiwa nguvu za kiume, kuliko anyimwe hali nguvu anazo, ati ndio zitampeleka kwenye kifo. Kilichonishangaza ni kuwa walijuaje kuwa mwenzao huyo alikuwa anamyima mumewe? Wao walikuwa wanamshutumu tu jinsi alivyokuwa anamnyima, lakini hadi nashuka kituoni sikupata kuwasikia wakisema walijuaje ya mwenzao hayo.
 
Itabidi aisee mimi nikikosa kwa siku 2 sioni mbele kunakuwa na giza kubwa/poor sight /vision

hee cku 2? sasa akisafiri/ukisafiri inakuwaje?...kuna watu mna apetaiti eeh.
 
Sio ushikwe na kihoro MJ inabidi umfaham mwanamke. MEN and WOMEN are different a man is on heat most of his life but a woman is not... She goes through periods of time where she cools off.. she's not thinking about sex when she has to get up 6 times at night to feed a baby.. when her genitals have 25 stitches and she's bleeding like she's been stabbed.

When she is worrying about something, when her child is sick, when her mother is unwell.. She won't want to share her body when she feels ugly, when she is depressed and unhappy. When she feels sad and pityful.
 
kama adabu yake inayumba anapewa likizo tu.

unamnyima na huko nje anaitiwa tena kwa kubembelezwa.......sasa itakuwaje hapo??
si itakula kwangu dearest????
 
hee cku 2? sasa akisafiri/ukisafiri inakuwaje?...kuna watu mna apetaiti eeh.

Mimi nikisafiri huwa siwezi kamwe kulala alone, nipo radhi niombe binti nilale nae kitanda kiomja bila ya kufanya kitu lakini namalizia kwa ndoto.
 
kumbe ni rahisi kumuua mwanaume eeh?

Yaani ni kama na wewe ulikuwepo walivyokuwa wanapokezana point kwenye mazungumzo yao. Walidai mume akinyimwa hachukui raundi, lazima afe! Ati walidai ni bora mwanaume akishindwa mwenyewe kufanya sababu ya kuishiwa nguvu za kiume, kuliko anyimwe hali nguvu anazo, ati ndio zitampeleka kwenye kifo. Kilichonishangaza ni kuwa walijuaje kuwa mwenzao huyo alikuwa anamyima mumewe? Wao walikuwa wanamshutumu tu jinsi alivyokuwa anamnyima, lakini hadi nashuka kituoni sikupata kuwasikia wakisema walijuaje ya mwenzao hayo.
 
Labda nilikuwepo kwenye daladala... wanawake gossiping ndio inaturefushia maisha bana
 
unamnyima na huko nje anaitiwa tena kwa kubembelezwa.......sasa itakuwaje hapo??
si itakula kwangu dearest????

hee dearest, hiyo nidhamu ya uoga imeanza lini? aitiwe asiitiwe huko nje wanafanya maarifa wanayoyajua wao, c unaonaga comments za wazee wa humu ndani?...halafu mie cfikiragi eti nikimnyima/mbania ataenda huko nje, nje labda anaendaga kila wakati na bado akija home anataka, kwangu nidhamu ikipungua na kula huli, sio nidhamu ya nidhamu kuna nidhamu ya kumnyimia....halafu wanawake wengi wanakuwaga na hilo wazo cjui kwanini, unaweza kuweka mpaka rehani roho yako lakini kama ni lim2 la kutoka litatoka 2....
 
Mimi nikisafiri huwa siwezi kamwe kulala alone, nipo radhi niombe binti nilale nae kitanda kiomja bila ya kufanya kitu lakini namalizia kwa ndoto.

luv kwa fix, ckuwezi....lol
 
Kwa taarifa yako mi ukinibania ndani ndio ujue ninafurahi kinoma. Manake kesho yake nacheza machezo na kina Eliza kwa raha dhangu. Nyie tubanieni tu eti mkidhani mnatukomoa. Sijui mtafunguka lini akili zenu nyie jinsia ya kike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…