kumpa pesa/zawadi mwanamke baada ya tukio...hii imekaaje?

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,412
siku moja nilikuta rafiki zangu wawili wa kike wanasimuliana, kwa kuwa wamenizoea uwa wanatia tu stori hata yaliyojiri kwenye sita kwa sita, sasa haya mazungumzo yao yakanifanya niwaze mara mbili mbili japo mimi personally haijawai nitokea,

mazungumzo yalikuwa ni kwamba: msichana mmoja alikuwa anamlaumu mwenzie kwa nini amekubali tu kutumiwa na mtu wake kisha kamuacha ivyo ivyo hata hela ya sabuni hajamiachia... kha? nikawaza nani anayestahili kupewa kifuta jasho kati ya wawili mwanaume au mwanamke? je kila baada ya mechi lazima mtu aachiwe chochote? mfano mimi tangu nilivyompata huyu CL mechi ni wakati wowote nafasi itakapopatikana..sasa nawaza kama ni kumtoa hela si ntabaki kapuku...kwa mtazamo wangu nilijua hilo jambo ni burudani kwa wote wawili, sio mmoja kumtumia mwenzie

hebu nipeni mitazamo yenu wanajamvi
 
mhm...sasa kama nampa hela si bora nikakamatie dada poa.
 
Huo ni utaratibu wa mapenzi yao!
 
MtotoSix je Charminglady unampaga shilingi ngapi kabla ya ndoa yenu?hivi ndoa lini tena du nisu nisahau kuwa nipo kwenye idara ya usafiri na kikao cha mwisho ni kesho
 
Inategemea makubaliano. Kama unanunua sexual pleasure, lazima ulipe, lakini kama ni sehmu ya ninyi wapendanao si lazima, maana kama ni kuchafuka, wote mnatoka na maharufu ya shahawa.
 
Inategemea ni jinsi gani mnaendesha uhusiano wenu.
Kama una act as a buzi ni lazima kulipia baada ya tendo.
 
 
Last edited by a moderator:
Malipo yanaonyesha hakuna mapenzi kati yenu. Chapa mwendo!
 
Kumpa zawadi mpenzi wako sio dhambi haijalishi ni kabla ya tendo, baada ya tendo au katikati ya tendo inategemea na makubaliano yenu!
 
malipo baada ya tendo hiyo ni kwa machangudoa tu, haiwezekani mpenzi wako umpe pesa kila baada ya tendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…