Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si amesajiliwa acheze kama hivyo alivyocheza na analipwa ili acheze vizuri cha ajabu ni kipi hadi kiongozi wa timu amsifie mchezaji aliyetimiza kazi yake alivyoomba kuifanya?Tatzo lenu mmeanza kumuona Nkane juzi akicheza na Singida... Mnadhan Yanga walimnunua Nkane kutoka biashara utd kwa bahat mbaya..? Hamjiulizi kwanini Yanga wamekaa na Nkane kipindi chote hicho bila kumuuza hata kwa mkopo..? Shida yenu mnaangalia mpira mkiwa sebuleni na madada wa kazi...
By the way juzi Nkane hajaonyesha kiwango chake, ngojeni mtamuimba sana msimu huu... Nilikuwa nawashangaa watu walivyoshangaa kumuona Nkane ktk kikosi cha kwanza...
Hiyo sio kweli ni uzushi. Nkane ana miaka 21 sasa, anaweza kucheza mpira ndiyo maana alisajiliwa Yanga, anatakiwa acheze mpira badala ya kusubiri kuambiwa kuwa anaweza ndiyo acheze. Wachezaji wangapi hawakusajiliwa na Yanga? Hakuna kocha mwenye akili ataacha kumchezesha mchezaji mzuri ili apate matokeo mazuri. Mpaka Gamondi amepanga inamaana kuwa sasa anaweza kucheza mpira kwa jicho la kimpira. Wewe kiongozi hupaswi kwenda kumteua mchezaji mmoja wa kumsifu sana wakati una wachezaji 27 kwenye kikosi, hiyo ya kusifu wachezaji mmojammoja waachie mashabiki na kocha mwenyewe aseme wakati wa kupanga kikosi chake dhidi ya mechi husika.Dennis nkane he is talented he just need people kumwambia unaweza umeongea kichuki sana
real madrid hii iliyokula chuma 4 sebuleni kwake?Nkane anafaa kucheza real madrid.
Naunga mkono hoja watajijua wenyewe na hicho kimchezaji chao kifupi kama fridge ya aborder sisi "SIMBA" tunamsubiria mashujaa tumkande.Mtajijua wenyewe...
waonee huruma real madrid pamoja na kuwa na rudiga wamekula chuma 4 akiongezeka na nkane si watakula 8 bila sasa?Nkane anafaa kucheza real madrid.
Dube kakutana na mbigili za kufa mtuSasa kama dube hafungi magoli sisi utopopo tutamuimba nani zaidi ya nkane? Nkane tupo naye na tunatamba naye dube aende malimao fc.
Mukwalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Mtoto mdogo halali na hela mtoto mdogo yake mavi tu.Half-time 0-0, Kuna nini hapo cha ajabu