Kumpiga mke kunaboresha mapenzi?

Jugado

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2021
Posts
1,446
Reaction score
3,184
Nimeishi na mke wangu kwa miaka zaidi ya kumi na tumepata watoto.
Katika miaka yote hiyo sijawahi kumpiga wife ukiacha kuzunguana hapa na pale.

Sasa juzi kati alinizingua vibaya nikajikuta nimempiga kama mtoto mdogo . Nilimtia mikanda ya miguuni na kwenye matako.

Kesi ilikua kubwa kichizi mpaka wakwe wakawa wanashangaa na kuwa upande wangu!

Cha ajabu baada ya kesi kuisha mke wangu ameongeza mapenzi ajabu! Yaani kama kwenye muvi, kunyandua saa nataka na ameongeza makeke! Kila kitu ananifanyia kwa wakati. Hii haikua kawaida yake. Yaani ni kama kazaliwa upya.

N. B. Najuta kumpiga maana niliapa sitampiga mke iwe iweje.
 
Uwe makini wana visasi hao ukute hasira anampa mtu huko nje anakojifunzia manjonjo....wewe anakuchezea akili yako ....wanawake ni evil sana wana akili nyingi za ujinga....mbele giza
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Cha ajabu baada ya kesi kuisha mke wangu ameongeza mapenzi ajabu! Yaani kama kwenye muvi, kunyandua saa nataka na ameongeza makeke! Kila kitu ananifanyia kwa wakati. Hii haikua kawaida yake. Yaani ni kama kazaliwa upya.
 
Uwe makini wana visasi hao ukute hasira anampa mtu huko nje anakojifunzia manjonjo....wewe anakuchezea akili yako ....wanawake ni evil sana wana akili nyingi za ujinga....mbele giza
Duh noma sana, wacha nimwamini
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Cha ajabu baada ya kesi kuisha mke wangu ameongeza mapenzi ajabu! Yaani kama kwenye muvi, kunyandua saa nataka na ameongeza makeke! Kila kitu ananifanyia kwa wakati. Hii haikua kawaida yake. Yaani ni kama kazaliwa upya.
Kwamba?
 
Kwa Tarime ni sawa
 
Ke wa kikurya wasipopigwa huamini sisi Me hatuwapendi kabisa.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Maelekezo ya maandiko, anayechapwa ni mtoto. Sio mtu mzima.

Pili kipingo au kichapo kwa mtoto lengo kuu huwa sio kwa sababu amekukwaza bali kimejielekeza katika kumuondolea upumbavu. Kama mtoto hajafanya upumbavu kafanya ujinga tu au makosa ya kawaida fimbo sio option.

Upumbavu ni mfano anaona watu anaanza kujiliza bila sababu, haumwi, hajakosewa au kwa ufupi kudeka. Hapo unatakiwa umrambe bakora akili zikae sawa.

Mke au mtu mzima hapingwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ