Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda kuomba msaada wa mawazo kwenu wana jf kuhusu hili.Eti mke akikukosea, kumpiga ni uamuzi mzuri? B'se wengine wanasema kumpiga ni kumuonea kwani wao ni viumbe dhaifu,wengine ati ni njia ya kumuonya.Nisaidieni. Je ukimpiga
Utamu ikilazimika kuupiga au kuuchapa basi huchapwa kwa utamu! Maana yake Nyama si hua ni tamu? Basi mchape kwa kutumia nyama!
Mpige, nae akupige muishie kupigana!!
Unataka kumpiga kawa mwanao huyo?Wanaume wtengine sijui mkoje, na wewe ukikosea akupige au akutafutie watu wakupige?
Punguza hasira,hapa tunaelimishanaga tu.yamekukutaga nn?
Kumbe nalala peke yangu wewe uko busy haya tuongozane basii...Kwani hapo sijakuelimisha?
Siku yakinikuta siweza ingia JF!!!
Kumbe nalala peke yangu wewe uko busy haya tuongozane basii...
hahahahahaha! twende wife mtarajiwa..............Ngoja nimalize kesi ya kumdekisha mume kule.
umpige kwn amekuwa mtoto ,kwanza siku hizi hata watoto hatupigi....by th way km unataka kumpa adhabu mbona kuna mambo mengi unayoweza kumfanyia zaidi ya hiyo kumpiga.....unaweza kutumia psychological torture mwnyw atanyooka.
Kumbe nalala peke yangu wewe uko busy haya tuongozane basii...
Hahahahaha. . . Embu acha visa wewe.Mke mmoja amewaoa wanaume wawili nani anafua na nani anakata mauno kwenye dekio?
Hahahahaha. . . Embu acha visa wewe.
Mbona sikuelewi? Iweke wazi bac.