Kumpiga mke

Se ntaki

Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
38
Reaction score
6
Napenda kuomba msaada wa mawazo kwenu wana jf kuhusu hili.Eti mke akikukosea, kumpiga ni uamuzi mzuri? B'se wengine wanasema kumpiga ni kumuonea kwani wao ni viumbe dhaifu,wengine ati ni njia ya kumuonya.Nisaidieni. Je ukimpiga
 
Kupiga sio kuonya sana sana utamtia kiburi...au utamsababishia makovu ya maisha wakati unaweza ukamkalisha chini ukamsema yakaeleweka..akirudia tena kosa peleka kwa wazazi..#Mwanaume anaepiga sio mjanja!!
 
na wewe baba ukikosea nani anakupiga?
Unaonywaje hadi uelewe?
 
Mpige, nae akupige muishie kupigana!!

Unataka kumpiga kawa mwanao huyo?Wanaume wengine sijui mkoje, na wewe ukikosea akupige au akutafutie watu wakupige?
 
Utamu ikilazimika kuupiga au kuuchapa basi huchapwa kwa utamu! Maana yake Nyama si hua ni tamu? Basi mchape kwa kutumia nyama!
 
Kama lengo ni kumuonya, si umonnye basi? kwa nini umchape?
 
Mpige, nae akupige muishie kupigana!!

Unataka kumpiga kawa mwanao huyo?Wanaume wtengine sijui mkoje, na wewe ukikosea akupige au akutafutie watu wakupige?

Punguza hasira,hapa tunaelimishanaga tu.yamekukutaga nn?
 
Siku ukimpiga bahati mbaya ikatokea ukachukua uhai wake unategemea nini kitatokea?
 
kuna haja ya kucheki threads za zamani ziliongelea haya mambo aisee
 
umpige kwn amekuwa mtoto ,kwanza siku hizi hata watoto hatupigi....by th way km unataka kumpa adhabu mbona kuna mambo mengi unayoweza kumfanyia zaidi ya hiyo kumpiga.....unaweza kutumia psychological torture mwnyw atanyooka.
 
Loh!!!Ndio zako hizo za kunyanyasa watu wengine psychologically?
 
Mbona sikuelewi? Iweke wazi bac.

Wewe si mtu mzima huelewi nini ? Mtarimbo ni mfupa? Nikutafunieje? Hujaelewa tu ? Mwisho utafanana na jamaa alietafutiwa demu, akapelekewa room, akanunuliwa na Ndom, akamenyewa kwenye box hiyo ndom akapewa mkononi. HAKUTOSHEKA AKAOMBA AVALISHWE NA NDOM! Khaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…